#Local News

KINDIKI: HAKUNA ANAYEWEZA KUUA UGATUZI

Naibu Rais Kithure Kindiki amewahakikishia Wakenya kwamba serikali haina mpango wa kuhujumu hatua zilizopigwa kuhusiana na ugatuzi nchini katika kipindi zaidi ya miaka 10 iliyopita.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao cha 27 cha mkutano wa baraza la bajeti na uchumi linalojumuisha serikali za kaunti na ile ya kitaifa IBEC katika ofisi yake ya Karen, Kindiki amesema hakuna yeyote anayeweza kuondoa mafaniukio hayo.

Aidha, amesema kuwa salio la shilingi bilioni 17 za kaunti litatolewa kabla ya mwisho wa mwaka huu wa kifedha

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *