#Local News

JUHUDI ZA KULIPA MADENI YA NHIF

Mzozo baina ya hospitali na mamlaka ya SHA kuhusiana na madeni yanayodaiwa chini ya bima ya afya ya zamani NHIF unatarajiwa kupata suluhu kufuatia hatua ya wizara ya afya kuzindua kamati maalum itakayoendesha uchunguzi ili kuhakiki uhalali na kiwango cha madeni hayo kabla ya hatua madhubuti kuchukuliwa.

Waziri wa afya Aden Duale, ametahadharisha kuwa kamati hiyo inayoongozwa na James Masiero, itawajibikia malipo yoyote kwa watoaji wa huduma za afya yatakayotolewa kwa njia ya udanganyifu.

Ukaguzi huo utakiamilika ndani ya siku 30.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

JUHUDI ZA KULIPA MADENI YA NHIF

WAKENYA 6 WASAKWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *