MPOX YARIPOTIWA TENA NCHINI
Kisa cha tatu cha virusi vya nyani yaani Mpox kimeripotiwa nchini, huku mkurugenzi mkuu wa afya Dakta Patrick Amoth akisema mwathiriwa ni wa kike mwenye umri wa miaka 30 aliyekuwa amerejea jijini Nairobi baada ya safari nchini Uganda. Kulingana na Amoth, mwathiriwa alirejea nchini baada ya safari ya wiki jana, na anapokea matibabu akiwa katika […]
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































