#Business KENYA KUANGAZIA UPYA MARUFUKU YA MITUMBA Serikali ya Kenya inawazia kupiga marufuku uagizaji wa mitumba ili kufufua sekta ya ushonaji nchini, Wizara ya Biashara ikisema kuwa Manasseh Wekesa / 1 day Comment (0) (8)
#Business MSAMAHA WA USHURU WA KRA WAFIKIA KSH 158 BILIONI Mamlaka ya ukusanyaji ushuru Nchini, KRA, imetangaza kuwa zaidi ya walipa ushuru milioni 2.9 wamefaidika na Mpango wa Msamaha wa Manasseh Wekesa / 1 day Comment (0) (6)
#Business BUNGE LA KENYA LAPENDEKEZA KUBADILISHWA KWA SEHEMU YA 19 YA SHERIA YA AJIRA Wabunge wamemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuifuta au kuirekebisha Sehemu ya 19 ya Sheria ya Ajira ya mwaka 2007, ambayo Manasseh Wekesa / 3 days Comment (0) (6)
#Business SERIKALI YASITISHA MKATABA WA BARABARA NA KAMPUNI YA KIFARANSA Serikali ya Kenya imesitisha mkataba wa euro bilioni 1.3, sawa na takriban shilingi bilioni 190.8, uliokuwa umeafikiwa na muungano wa Manasseh Wekesa / 3 days Comment (0) (10)
#Business USHURU MKUBWA NA KANUNI KALI ZA UAGIZAJI WA MAHINDI NCHINI KENYA Serikali ya Marekani imeelezea wasiwasi wake kuhusu ushuru wa asilimia 50 unaowekwa na Kenya kwa mahindi yanayoagizwa kutoka nje ya Jumuiya ya Manasseh Wekesa / 1 week Comment (0) (17)
#Business SERIKALI YA MAREKANI YAHOFIA ONGEZEKO LA UDANGANYIFU WA HATI ZA ARDHI NCHINI KENYA Kwa mara ya kwanza katika ripoti rasmi ya biashara Mwakilishi wa Biashara wa Marekani ameelezea wasiwasi kuhusu ongezeko la udanganyifu Manasseh Wekesa / 1 week Comment (0) (16)
#Business MICHANGO YA PENSHENI YAPAA MARADUFU Wakenya walio katika mipango ya pensheni wameongeza michango yao karibu mara mbili ndani ya miaka mitatu, kulingana na ripoti ya Manasseh Wekesa / 1 week Comment (0) (13)
#Business MAGEUZI MAPYA SEKTA YA CHAI YAJADILIWA Wakulima wa chai nchini huenda wakapata afueni kufuatia mikakati mipya ya mageuzi iliyoandaliwa na Wizara ya Kilimo huku Katibu wa Manasseh Wekesa / 1 week Comment (0) (16)
#Business WAKULIMA WAPATA AHADI YA MBOLEA KUTOKA KWA SERIKALI Wakulima wamehakikishiwa upatikanaji wa mbolea ya kutosha katika ghala za Halmashauri ya Nafaka na Mazao (NCPB), kufuatia tamko la Waziri Manasseh Wekesa / 2 weeks Comment (0) (20)
#Business SERIKALI KUPUNGUZA UTEGEMEZI KWA WAKOPESHAJI KUTOKA NJE Kama njia mojawapo ya kuhahakisha kuwa serikali kuu haitalemewa na mzigo wa deni la umma na kupunguza utegemezi wake wa Manasseh Wekesa / 3 weeks Comment (0) (20)