#Local News

ODM: HAKUNA MAKATAA YA RIPOTI

Chama cha ODM kimetetea kinachoonekana kuwa kucheleweshwa kwa uwasilishaji wa ripoti kuhusu utekelezaji wa ajenda 10 zilizoafikiwa baina yake na UDA ikiwemo kuwapa fidia waathiriwa wa maandamano, kikisema hakuna makataa kuhusu uwasilishwaji huo.

Kwa mujibu wa baraza kuu la chama hicho likiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa Gladys Wanga, mchakato huo ni endelevu na hauna muda kamili wa kutekelezwa, licha ya madai kwamba muda wa utekelezaji utakamilika tarehe 7 mwezi huu.

ODM imesema itaandaa kikao cha pamoja na wabunge wa UDA kujadili suala hilo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODM: HAKUNA MAKATAA YA RIPOTI

NG’ENO, WENGINE 5 KUPEWA BURIANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *