#Local News

WAMILIKI WA MAGARI WATAKA BODA BODA KUREKEBISHWA

Sekta ya boda boda imeendelea kujipata chini ya shinikizo zinazoitaka ifanyiwe mageuzi, wamiliki wa magari ya uchukuzi ikiitaka idara ya trafiki kuwawajibisha wahudumu wanaojihusisha na uhuni kwa kuwashambulia wenye magari yanayohusika kwenye ajali.

Wito wa wamiliki hao unajiri baada ya magari 3 yaliyohusika kwenye ajali kuchomwa katika maeneo mbali mbali na watu wanaoaminika kuwa wahudumu wa boda boda.

Wamiliki hao wanasema hulka hiyo isipodhibitiwa basi huenda ukiukaji wa sheria ukaendelea kushuhudiwa.

Imetayarishwa na Antony Nyonyesa

WAMILIKI WA MAGARI WATAKA BODA BODA KUREKEBISHWA

MAUAJI YA WAKILI YAIBUA MASWALI

WAMILIKI WA MAGARI WATAKA BODA BODA KUREKEBISHWA

GOR MAHIA KUKUTANA NA SIMBA FC KWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *