#Sports

CHELSEA WAZAMISHA LINCOLN

Baada ya kua ana weekend ngumu kwa ligi ya premia kilabu ya Chelsea ilijizatiti na kukota mabao mawili katika mashindano ya kombe la carabao jana usiku .

mabao mawili ndani ya dakika tano za kwanza za mchezo kuanza tena – kutoka kwa Tyrique George na Facundo Buonanotte – yalinyima timu ya Michael Skubala ya lincoln  ushindi maarufu wa kombe.

Enzo Maresca, kocha mkuu wa Chelsea, ame kiri kuwa alikasirishwa na wachezaji wake walipokuwa nyuma ya League One Lincoln City wakati wa mapumziko lakini anaamini wachezaji wake wachanga watakuwa bora zaidi kwa uzoefu wa kushinda vita hivyo vikali.

Chelsea walifanya mabadiliko manane katika mchezo huo uliopelkea wao kushinda mabao mawili.

Wakatai huohuo liverp[oll iliwazamisha southamapton mabao mawili kwa mbili kupitia kw awachezaji alezandra isaka mnamo dakika ya 43 kipindi cha kwanza kabal hugo etikite kuongeza lingine katika kipindi cha pili dakika ya 83.southampton wakajiptaia lao la kufuta machozo katika kipindi cha pili kupitaia kwa kinara shea charles

Leo itakua zamu ya Huddersfield v Man City (19:45 BST)  Newcastle v Bradford City (19:45 BST)

Tottenham v Doncaster (19:45 BST) Port Vale v Arsenal (20:00 BST)

Imetayarishwa na Nelson Andati

CHELSEA WAZAMISHA LINCOLN

TIMU YA BASEBALL YAWASILI MEXICO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *