#Local News

ZAIDI YA WAKULIMA ELFU 35 KUNUFAIKA NA MPANGO WA BT COTTON

Zaidi ya wakulima elfu 35 katika kaunti ya Homabay wamepata afueni baada ya kupata mbegu za pamba zilizokuzwa kiteknolojia yaani BT COTTON tani elfu kumi ambazo ziligharimu shilingi 72.

Wakulima hao wamepewa mbegu hizo kama hatua ya kufufua klilimo cha pamba katika kaunti hiyo.

Gavana wa Homabay Gladys Wanga na naibu wake Oyugi Magwanga wameongoza hafla hiyo katika Kijiji ncha Olare eneo bunge la Rangwe.

Wanga amewataka wakaazi wa eneo hilo kukumbatia ukuzaji wa pamba ili kuboresha Maisha yao.

Imetayarishwa na Janice Marete.

ZAIDI YA WAKULIMA ELFU 35 KUNUFAIKA NA MPANGO WA BT COTTON

UCHAGUZI WA KTDA NYAMIRA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *