#Local News

WABUNGE WATEULE KUAPISHWA

Wabunge waliochaguliwa kwenye chaguzi ndogo wiki jana wameratibiwa kuapishwa hii leo bungeni ili kuanza rasmi majukumu yao ya uwakilishi, utungaji sheria na uangalizi dhidi ya serikali ya kitaifa.

Wabunge hao ni David Ndakwa wa Malava, Harrison Kombe wa Magarini, Leo wa Muthende wa Mbeere North, Boyd Were wa Kasipul, Ahmed Maalim Wa Banisa na Moses Omondi wa Ugunja.

Haya yanajiri baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC kuchapisha majina ya washindi wa chaguzi hizo katika gazeti rasmi laserikali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WABUNGE WATEULE KUAPISHWA

NTSA YATANGAZA MSAKO BARABARANI

WABUNGE WATEULE KUAPISHWA

KPA MACHO SASA WBLA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *