#Football #Sports

BUKEMBE WAZIDI KUONYESHA MAKALI YAO

Timu Ya Bukembe Fc Iliendelea Kufanya Vizuri Katika Ligi Ya Kaunti Ya Bungoma Baada Ya Kuicharaza Timu Ya Mayanja Bullets Fc Mabao Matatu Kwa nunge.

Chemwa Fc Na Timu Ya Sirisia Fc Zilitoka Sare Ya Nunge Kwa Nunge ,Chepyuk Falcons Fc Ilitandika Timu Ya First Touch Fc Mabao Matatu Kwa Bila.

Nalondo Fc Ikicharaza Timu Ya Barcelona Fc Mabao Mawili Kwa Moja Huku Nyangali P Worriors Fc Ikiishinda Timu Ya Bungoma All Stars Fc Bao Moja Kwa Nunge.

Kwenye Kundi La C City Harvest Fc Na Fly Over Zikitoka Sare Ya Moja Kwa Moja.

Imetayarishwa na Nelson Andati

BUKEMBE WAZIDI KUONYESHA MAKALI YAO

SHABANA WAANGUKIA NYOTA

BUKEMBE WAZIDI KUONYESHA MAKALI YAO

MAN U KATIKA NJIA PANDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *