#Local News

CAS, WASHAURI WACHONGWA

Ni rasmi kwamba makatibu waandamizi ama CAS hawataajiriwa chini ya serikali ya sasa, rais William Ruto akiweka wazi kwamba hatua hiyo imechukuliwa kupunguza matumizi ya fedha za umma.

Wengine ambao wameathirika ni washauri wa Rais ambao watapunguzwa kwa asilimia 50, saw ana kuondolewa kwa bajeti katika afisi za mke wa rais na Naibu wake, na yule wa mkuu wa mawaziri

Aidha, wafanyakazi wote wa serikali wanaofikisha umri wa miaka 60 watastaafishwa mara moja

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

CAS, WASHAURI WACHONGWA

MASHIRIKA 47 YAVUNJWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *