#Local News

“MAUAJI YA WANAWAKE YAWE JANGA LA KITAIFA”

Asilimia 34 ya wanawake nchini wamewahi kupitia ukatili kuanzia wakiwa umri wa miaka 15, serikali sasa ikitakiwa kutangaza mauaji dhidi ya wanawake kuwa janga la kitaifa.

Wakizungumza wakati wa kuwasilisha ripoti kuhusu dhuluma za kijinsia nchini, wanachama wa kamati maalum iliyobuniwa kuchunguza visa vya ukatili wa kijinsia ikiongozwa na aliyekuwa naibu Jaji Mkuu Nancy Barasa, wamependekezo kuwachukulia kama washirika wanaokosa kuripoti visa vya dhuluma za kijinsia.

Rais William Ruto ameahidi utekelezaji wa ripoti hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

“MAUAJI YA WANAWAKE YAWE JANGA LA KITAIFA”

WINNIE ODINGA: VIONGOZI WANATISHWA

“MAUAJI YA WANAWAKE YAWE JANGA LA KITAIFA”

WATOTO, 15, UFARANSA WAZUIWA MITANDAONI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *