BARABARA ZOTE ZINAZOELEKEA IKULU YA NAIROBI ZAFUNGWA
Barabara zote zinazoelekea Ikulu ya Nairobi, zimesalia kufungwa huku maandamano yakianza katika baadhi ya miji nchini huku Milango yote kuu ya ikulu ya nairobi ikisalia kufungwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































