#Local News

ELDORET JIJI RASMI

Ni rasmi sasa kwamba Kenya ina miji mitano, baada yam ji wa Eldoret kupandishwa hadhi na kuwa jiji na hivyo kujiunga na Nairobi, Mombasa, Kisumu na Nakuru.

Hafla hiyo imeongozwa na Rais William Ruto ambaye ametia sahihi muhuri wa umma yaani public seal kama sehemu ya kupandisha hadhi mji huo na kuwa jiji.

Baadaye, rais ametangaza rasmi Eldoret kutoka kiwango cha manispaa na kuwa jiji.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ELDORET JIJI RASMI

ASANTE KENYA

ELDORET JIJI RASMI

MAHAKAMA YAHARAMISHA NYONGEZA YA KODI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *