DEBRA; TUTAKAGUA SHIF KABLA ZA KUTUMIKA

Debra Mulongo Barasa waziri mteule wa Afya akiwa mbele ya kamati ya uteuzi ya bunge la kitaifa amesema kuwa pana haja ya kutathmini upya kwa mpango wa afya ya jamii SHIF kabla ya kutekelezwa kwake.
Mulongo aidha ameahidi kuwa kutakuwepo uwajibikaji iwapo atahidhinishwa kuhudumu katika wizara hiyo ya Afya
Imetayarishwa na Janice Marete