#Local News

RUTO AAHIDI MAKAZI WA IDPS WA 2007

Hatimaye wakimbizi wa ndani kwa ndani kutokana na machafuko ya baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007 wanatarajia mwanga wa tumaini la kupata makazi baada ya Rais William Ruto kutangaza mpango wa kuwatafutia ardhi.

Akizungumza kwenye kaunti ya Nakuru wakati wa ziara yake, Rais Ruto ametangaza kwamba shilingi milioni 18 zitatolewa kufanikisha mpango huo unaolenga familia 900 zinazoripotiwa kuathirika na machafuko hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *