#Local News

MIGOMO YAENDELEA KULEMAZA MATIBABU

Huduma za matibabu katika kaunti ya Nairobi na maeneo mengine ya taifa zimeendelea kutatizika kufuatia mgomo wa mamia ya wahudumu wa afya walioajiriwa chini ya mpango wa afya kwa wote UHC, ambao wameandamana jijini Nairobi kushinikiza serikali iwape ajira ya kudumu.

Wahudumu hao kutoka nje na ndani ya Nairobi, wametatiza shughuli za uchukuzi katika kituo cha magari cha Greenpark, ambao wamefanya maandamano kupaaza sauti yao kwa wizara ya afya.

Wahudumu hao wamekuwa chini ya kandarasi tangu kuzuka kwa janga la Covid 19.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MIGOMO YAENDELEA KULEMAZA MATIBABU

MLINZI WA USIKU AUAWA MACHAKOS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *