#Local News

WATU WASIOJULIKANA WABOMOA JUMBA KAKAMEGA

Wakazi wa Makunga eneo bunge la Navakholo kaunti ya Kakamega wameachwa vinywa wazi baada ya kundi la watu 12 wasiojulikana waliojihami na silaha butu kubomoa jumba moja la kifahari eneo hilo wakidai kuwa na idhini ya mahakama.

Kwa mujibu wa wakazi hao, kundi hilo limewasili shambani kwa mzee mmoja kwa Jina Joseph Muluka wakiwa na tinga ting ana kuanza kubomoa nyumba yake.

Wamesema chanzo cha hatua hiyo ni mzozo wa ardhi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WATU WASIOJULIKANA WABOMOA JUMBA KAKAMEGA

OMBI LA RUTO KWA KI MOON

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *