ODM: HATUTAKUWA TENA UPINZANI
Chama cha ODM kimesisitiza kuwa kitabuni serikali baada ya uchaguzi mkuu ujao na kwamba hakitakuwa tena kwenue upinzani.
Kiongozi wa wachache katika bunge la kitaifa Junet Mohammed, amesema chama hicho kimekuwa kwenye upinzani kwa muda mrefu na hivyo pana jana ya mabadiliko.
Naye mwenyekiti wa kitaifa wa ODM Gladys Wanga ambaye pia ni gavana wa Homa Bay, ametetea ushirikiano wa kisiasa kati ya chama hicho na UDA.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































