AKINA MAMA WADAI KULA KWA MACHO
Malengo ya michango inayoendeshwa na serikali kwa madai ya kuwawezesha kifedha akina mama nchini yameibua maswali, baada ya walionufaika kudai kupokea hadi chini ya shilingi 100 pekee.
Wakosoaji wa michango hiyo wamesema serikali inatumia fursa hiyo kujitafutia umaarufu wa kisiasa taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao, huku walengwa wakisema fedha hizo haziwezi kubadilisha maisha jinsi serikali inavyodai.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































