#Local News

MARAGA: SINGAPORE GANI!

Jaji mkuu wa zamani David Maraga ameibua madai kwamba azma ya Rais William Ruto kubadilisha Kenya kuwa katika viwango vya mataifa yaliyoendelea kiuchumi duniani inalenga tu kuvutia ufadhili na hakuna lengo la kuafikia azma hiyo.

Maraga amependekeza Rais kukomesha ufisadi katika serikali yake, akisema hilo litafanikisha kuokoa fedha zaidi za kuwekeza katika miradi ya maendeleo na kuinua uchumi.

Amesikitikia hatua ya wanaofuja fedha kutoshtakiwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MARAGA: SINGAPORE GANI!

WAITITU, MKEWE MAHAKAMANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *