#uncategorized

NANI ATAWAFIDIA WAFANYAKAZI WA HOSIPITALI YA WAR MEMORIAL?

Gavana wa Nakuru Susan Kihika leo hii anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya seneti ya afya kuhojiwa kuhusu kufungwa kwa hosipitali ya war memorial.

 Karani wa bunge la seneti Jeremiah Nyegenye amemwagiza kihika kufika mbele ya kamati hiyo leo hii kueleza zaidi kuhusu klufungwa kwa hospitali hiyo tangu Januari 23.

Agizo la kumtaka gavana Kihika kufika mbele ya kamati hiyo linafuatia ombi lililowasilishwa na seneta wa kaunti hiyo Tabitha Karanja akitaka maelezo kuhusu mpango wa kuwafidia wafanmyikazi Zaidi ya 300 waliopoteza kazi zao baada ya hospitali hiyo kufungwa na usimamizi kuchukuliwa na kaunti.

WAPI PESA YA JSS?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *