WATOTO ZAIDI YA 6,000 HAWAJAPATA TRANSNZOIA CHANZO

Mshirikishi wa chanjo kwa watoto katika kaunti ya Transnzoia Benson Buluma anasema kuwa zaidi ya watoto 6000 hawajkapata chanjo ya marathi mbali mbali ikiwemo ya kupooza, kifua kikuu na pneumonia.
Amewatakia wazazi kuhakikisha wanao haswa wa jinsia ya kike kati ya miaka 10-14 wanapata chanjoi ya saratani ya lango la uzazi.
Imetayarishwa na Janice Marete