RUTO ATETEA AMRI YA “RISASI MIGUUNI’
Sijutii kuwaamuru polisi wawapige risasi za miguu wakenya waliokuwa wakishiriki maandamano ya hivi majuzi ya kupinga sera za serikali.
Ndiyo kauli ya Rais William Ruto kwenye mahojiano na shirika la habari la kimataifa la Aljazeera, akisema sheria inawaruhusu polisi kupitia nguvu kupita kiasi kuwakabili waandamanaji wanaozua vurugu.
Kulingana na rais, wahuni waliingilia maandamano hayo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































