#Local News

BEI GHALI YA MAJI YASIYOKUWEPO NAIROBI

Wakazi kutoka mitaa mbali mbali ikiwemo Mathare jijini Nairobi wamelalamikia kupanda kwa bei ya maji, kwa sasa wakilazimika kulipia shilingi 40 kwa lita 20 za maji, kutoka shilingi 5 za hapo awali.

Hii ni baada ya ukosefu wa maji kushuhudiwa katika mitaa hiyo, hatua ambayo imewalazimu kutembea kwa mwendo mrefu kusaka bidhaa hiyo muhimu.

Hata hivyo, gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ameahidi kwamba wakazi watapokea ongezeko la lita milioni 140 za maji hivi karibuni baada ya uzinduzi wa kituo cha kukusanya maji cha Northern Collector.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

BEI GHALI YA MAJI YASIYOKUWEPO NAIROBI

MTIHANI BADO UPO

BEI GHALI YA MAJI YASIYOKUWEPO NAIROBI

MAUAJI YA KWARE: MAHAKAMA YAWAPA POLISI DHAMANA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *