SERIKALI YATAKIWA KUWAHUSISHA WAKENYA KATIKA MASWALA MUHIMU YA TAIFA
Wakaazi wa kaunti ya Kisumu wanaitaka serikali kuwahusisha wakenya katika maswala mbali mbali ya kitaifa.
Wakaazi hao wanasema kuwa maandamano ambayo yamekuwa yakishuhudiwa humu nchini hayangekuwepo ikiwa serikali iliwahusisha wananchi katika swala nzima la mswada wa fedha wa 2024/25.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 

















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































