VIJANA KAKAMEGA WATOA WITO KWA WABUNGE KUSHIRIKIANA NA RAIS RUTO
Vijana katika kaunti ya Kakamega wanatoa wito kwa wabunge kumsaidia rais william Ruto kutekeleza matakwa waliyoibua ili kukabiliana na kupanda kwa gharama ya Maisha.
Vijana haovile vile wanasema kuwa kufufua kiwanda cha Mumias kunapaswa kufanywa kipaumbele ili kuhakikisha vijana hao wa eneo la magharibi wanapata.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































