UCHAGUZI PEKEE NDIO UNAWEZA KUMTIMUA RUTO – CS KURIA

Waziri wa Utumishi wa Umma Moses Kuria sasa anasema Rais William Ruto anaweza tu kuondoka afisini kupitia uchaguzi mwingine.
Kwa mujibu wa Kuria Ruto alichaguliwa na kuna uchaguzi mwingine unakujahuku akithibitisha kuwa njia pekee ni njia ya kidemokrasia, kwa Gen Zs kutumia nambari na sauti zao katika kupiga kura.
Imetayarishwa na Janice Marete