#Boxing #Sports

OKAKA AINGIA ROBO FAINALI YA DUNIA BAADA YA USHINDI MKUBWA DUBAI

Bingwa wa taifa wa uzani wa light heavyweight, Robert Okaka, anaendelea kung’ara kimataifa baada ya kutinga robo fainali ya Mashindano ya Dunia ya Ndondi  kwa Wanaume yanayoendelea Dubai, ambapo atakutana na Mrusi Bizhamov Dzahambulat.

Okaka amesema anaendelea na utulivu na kujiamini, akisisitiza kuwa mtazamo wake haujabadilika licha ya kupanda kiwango cha ushindani.

Bondia huyo alijikatia tiketi ya hatua ya nane bora kwa kumdhibiti vilivyo Mtunisia Youssef Rafrafi, pambano likisimamishwa kwenye raundi ya tatu.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

OKAKA AINGIA ROBO FAINALI YA DUNIA BAADA YA USHINDI MKUBWA DUBAI

KPA YAFUZU LIGI YA AFRIKA LICHA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *