#Local News

WACHUKUE WATOTO AU MSITULAUMU, KUPPET

Athari za mgomo wa walimu wa shule zinaendelea kuripotiwa kote nchini, baada ya walimu katika kaunti ya Trans Nzoia kuwataka wazazi wawaondoe wanao shuleni, wakisema hawatawajibikia chochote kitakachotokea wakati huu wa mgomo.

Akizungumza baada ya kuongoza walimu kuandamana hadi katika afisi ya mkurugenzi wa elimu mjini Kitale, katibu wa KUPPET tawi hilo Lusweti Furaha, ametoa shinikizo kwa afisa mkuu mtendaji wa TSC Nancy Macharia kujiuzulu kwa madai ya kushindwa kuwashughulikia walimu ipasavyo.

Kauli yake imesisitizwa na mwenyekiti Eliud Wafula.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WACHUKUE WATOTO AU MSITULAUMU, KUPPET

MOTO WATEKETEZA MAKTABA BUNGOMA HIGH

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *