LUGALIA ASAHABIKIA USHINDI WAO DHIDI YA MUSINGU
Kocha mkuu wa mpira wa magongo wa St. Antony Kitale Kevin Lugalia anasema ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wapinzani wao wakuu wa Shule ya Upili ya Musingu katika michezo inayoendelea ya Shule za Afrika Mashariki ni motisha kubwa ambayo timu hiyo inaelekea pazuri.
Lugalia anaamini kuwa ushindi huo umeongeza ari ya timu na anaamini wana kila kinachohitajika kutwaa taji hilo waliloshinda mara ya mwisho mwaka 2019.
Imetayarishwa na Nelson Andati
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































