#Local News

MBADI ABASHIRI UKUAJI WA UCHUMI

Taifa la Kenya litapata afueni ya kiuchumi kati yam waka 2034-48 wakati ambapo taifa halitakuwa na mikopo ya kulipia ya Eurobond.

Haya ni kwa mujibu wa waziri wa fedha John Mbadi akizungumza kwenye kikao na wananchi katika bustani ya Jivanjee jijini Nairobi kuhusiana na bajeti ya kitaifa.

Ameongeza kuwa taifa litaanza kulipia mikopo hiyo kuanzia mwaka 2027 hadi mwaka 2034.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MBADI ABASHIRI UKUAJI WA UCHUMI

WANAFUNZI WAVAMIA HELB KUDAI MIKOPO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *