#uncategorized

SERIKALI INALENGA KUPANDA MICHE MILIONI 200WATU WAZIMA WAKIIMIZWA KUPANDA MICHE 50 NAWATOTO 10

PHOTO: President William Ruto planting a tree on 21st December 2022 in Kajiado County

Serikali inalenga kuhakikisha kwamba miche milioni 200 inapandwa leo hii ikiwa ni siku ya mapumziko ya kitaifa kwa ajili ya shughuli hiyo.


Waziri wa mazingira Soipan Tuya amewaomba wakenya ambao ni watu wazima kuhakikisha leo hii wanapanda agalau miche 50 na wattoto miche 10


Jumatano rais William Ruto alitangaza leo hii kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa shughuli hiyo pia kuwakumbuka waadhiriwa wa janga la mafuriko


Kauli ya rais iliyosisitizwa hapo jana wakati wa ibaada ya wafu kwa waadhiriwa wa mkasa wa maimahiu kaunti ya Nakuru katika hotuba iliyosomwa na naibu wa rais Gachagua

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *