SERIKALI IKO TAYARI KUKABILIANA NA WALAGHAI KATIKA IDARA YA ARTHI

Katibu wa arthi Nickson Korir amesisitiza mageuzi yanayofanywa na serikali katika juhudi za kurahisisha shughuli za arthi humu nchini.
Amethibitisha kwamba makampuni mengi ambayo yamekuwa yakiwalaghai wakenya kwa muda mrefu yatafutiliwa mbali na kuahidi kuhakikisha kwamba wamiliki na miamala ya arthi humu nchini inafanyika kwa uwazi.
Imetayarishwa na Janice Marete