ODINGA ASHUTUMU ‘AMRI YA KUUA’ YA MURKOMEN
Kinara wa ODM Raila Odinga amemshutumu waziri wa usalama Kipchumba Murkomen kutokana na amri ya Murkomen ya kuwataka polisi wawapige risasi watakaokaribia kituo cha polisi, Odinga akiitaja amri hiyo kuwa ya kiholela.
Akizungumza kwenye hafla moja katika eneo la Bondo, Odinga amemtaka Murkomen kuiheshimu sheria, inayowataka polisi kuwalinda raia Pamoja na mali zao.
Hata hivyo, Murkomen amejitetea akisema alinukuliwa visivyo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































