#Local News

ACHENI MZAHA, RAIS RUTO KWA WAKENYA

Wakenya wametakiwa kuondoa mzaha katika masuala yenye umuhimu kwa taifa, ikiwemo miradi ya maendeleo.

Akirejelea ahadi yake ya kujenga barabara ya Garhe hadi Modogashe katika eneo la Kaskazini Mashariki mwa nchi, Rais William Ruto amesema eneo hilo limetelekelezwa kwa miaka mingi na atahakikisha usawa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ACHENI MZAHA, RAIS RUTO KWA WAKENYA

AFUENI KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA UPEO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *