RUTO AWATAHADHARISHA MAJANGILI KASKAZINI
Rais William Ruto ametangaza kwamba serikali yake itarejesha utulivu katika kila eneo la taifa, na kuwaonya wamiliki wa silaha bila leseni kwamba chuma chao ki motoni.
Akizungumza alipozuru eneo la bonde la ufa, Ruto amewataka wamiliki hao kuzisalimisha sialaha hizo mara moja la sivyo wapokonywe kisheria.
Naye Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amesema tayari serikali imeanza kutwaa bunduki hizo.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































