#Local News

EPRA YATOA MWONGOZO WA MATUMIZI YA KAWI SAFI

Mamlaka ya kawi na petroli nchini EPRA imetoa mwongozo wa kuimarisha matumizi ya kawi safi.

Akizungumza jijini nairobi katika hafla ya kuzindua muongozo huo afisa mkuu mtendaji wa EPRA Daniel Kiptoo amesema serikali inalenga kuongeza matumizi ya magari yanayotumia umeme katika juhudi za kukabili machafuzi ya mazingira  kwa kupunguza kodi ya uagizaji wa magari hayo.

Imetayarisha na Janice Marete

EPRA YATOA MWONGOZO WA MATUMIZI YA KAWI SAFI

PIGO KWA CHAMA CHA KANU BAADA YA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *