#Local News

FAMILIA ZADAI KUREJESHWA KWA  WAKENYA KUTOKA VITANI – URUSI

Familia za Wakenya waliorubuniwa kujiunga na jeshi la Urusi sasa zinaitaka serikali kuweka mpango maalum na wa haraka wa kuwarejesha wapendwa wao waliokwama katika eneo la vita.

Jamaa wa waathiriwa hao, wanaodaiwa kuangukia mtego wa mtandao wa usafirishaji haramu wa watu, wamesema maombi yao ya mara kwa mara kwa idara husika hayajapatiwa uzito unaostahili.

Takwimu kutoka Idara ya Ujasusi wa Taifa zilizowasilishwa bungeni na Kiongozi wa Wengi, Kimani Ichung’wah, zinaonyesha kuwa zaidi ya Wakenya 1,000 walirubuniwa kuandikishwa kama wapiganaji katika jeshi la Urusi.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

FAMILIA ZADAI KUREJESHWA KWA  WAKENYA KUTOKA VITANI – URUSI

MURKOMEN AMJIBU VIKALI GACHAGUA

FAMILIA ZADAI KUREJESHWA KWA  WAKENYA KUTOKA VITANI – URUSI

NDINDI NYORO AHOJI UUZAJI WA MALI ZA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *