RUTO ANADI MAKAZI NAFUU KISII
Rais William Ruto ameendelea kupigia debe mradi wa ujenzi wa makazi ya bei nafuu akikariri kwamba unalenga kubuni nafasi za ajira kwa vijana.
Kulingana na Rais, kaunti ya Kisii imeratibiwa kunufaika na ujenzi wa takribani nyumba 10,000 katika awamu ya kwanza.
Aidha, Ruto amesema sekta ya dijitali itabuni nafasi zaidi za ajira.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































