MPOX YAZIDI KUENEA
Unatakiwa kuchukua tahadhari kujilinda dhidi ya ugonjwa wa Mpox.Tayari visa 137 vimeripotiwa katika kaunti 17 nchini.
Katibu katika wizara ya afya Mary Muthoni anasema sampuli 597 zimefanyiwa vipimo katika mahabara ya kitaifa.
Watu wengine 400 waliokuwa karibu na waathiriwa wametambuliwa na 15 kati yao wamepatikana na virusi vya Mpox.
Imetayarishwa na Maureen Amakhobe
English 

























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































