#Local News

WANAFUNZI SITA WAFARIKI KWENYE AJALI YA BARABARA YA KITUI – KIBWEZI

Watoto sita wa shule wamefariki katika ajali ya barabarani katika kituo cha biashara cha Wiitu kwenye barabara ya Kitui-Kibwezi.

Akithibitisha kisa hicho cha Naibu Kamishna wa Ikitha Vincent Loctary Lomachary, amesema walioathiriwa ni pamoja na watoto watatu wa shule ya msingi na watatu wa shule ya upili.

Kulingana na naibu kamishna wa kaunti, wanafunzi hao waliangushwa na gari aina ya Probox walipokuwa wakivuka barabara.

Imetayarishwa na Janice Marete

WANAFUNZI SITA WAFARIKI KWENYE AJALI YA BARABARA YA KITUI – KIBWEZI

RUTO AONYA WACHAFUZI WA NAIROBI RIVER

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *