#Local News

SITISHA UCHAGUZI WA UDA BUSIA; WAGOMBEA WASEMA

Baadhi ya wagombea wa viti mbali mbali wa chama cha UDA wanataka uongozi wa chama hicho kusitisha uchaguzi huo hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga uchaguzi itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Wakiongozwa na Eugine Masombo anayewania wadhifa wa mwenyekiti wa chama hicho kauti ya busia Pamoja na Evelyne Apondi anayewania wadhifa wa katibu wa kaunti wanataka uchaguzi huo usitishwe hadi kesi kuhusu uchaguzi wa kaunti ndogo ya teso kusini isikilizwe na kuamuliwa.

Wagombezi hao vile vile wamelalamikia hatua ya kuondolewa kwa baadhi ya wagombea wa viti mbali mbali kwenye orotha ya wagomeaji.

Imetayarishwa na Janice Marete

SITISHA UCHAGUZI WA UDA BUSIA; WAGOMBEA WASEMA

FRANCE WATOKA SARE NA CANADA.

SITISHA UCHAGUZI WA UDA BUSIA; WAGOMBEA WASEMA

VISA VYA UHALIFU VYAPUNGUA MALINDI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *