#Local News

KNH ILIPOKEA MAJERUHI 16 WA MAANDAMANO

Hospitali ya kenyatta ilipokea majeruhi 16 kufuatia maandamano ya hapo jana hapa Nairobi 7 wakilazwa na wengine 9 wakitibiwa na kuruhusiwa kwenda nyumbani.

Katika mkao na wana habari Daktari mkuu wa upasuaji katika hospitali ya Kenyatta Dr William Sigilai ameelezea hali ya mchuuzi aliyepigwa risasi na polisi na kusema amefanyiwa upasuaji ambapo waliondoa risasi na anaendelea kutibiwa.

Dkt Sigilai ameongeza kuwa wagonjwa wengine 2 wamefanyiwa upasuaji mmoja wao akiwa bado hajatambuliwa.

Imetayrishwa na Maureen Mukhobe

KNH ILIPOKEA MAJERUHI 16 WA MAANDAMANO

INZAGHI AWAPUZULIA MBALI WAKOSOAJI

KNH ILIPOKEA MAJERUHI 16 WA MAANDAMANO

TALAAM KUSALIA NDANI KWA SIKU 15

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *