BARAZA LA MAGAVANA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA LEO
Magavana 47 wa Kenya wanatazamiwa kuchagua uongozi mpya wa kuongoza Baraza la Magavana kwa muda wa miaka miwili ijayo.
Wakuu wa kaunti kwa sasa wanakutana katika uwanja wa Safari Park, Nairobi, ambapo pia watazingatia mpango mpya wa afya – Hazina ya Bima ya Afya ya Jamii na kuanzishwa kwake katika kaunti
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































