#Local News

LENGO LA KUMBANDUA GAVANA WA NYAMIRA AMOS NYARIBO LATIBUKA

Wawakilishi wadi wa bunge la kaunti ya Nyamira wamefichua nia yao ya kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani na uongozi wa gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo.

Hatua hii inajiri baada ya spika wa kaunti hiyo Enock Okerokuithinisha ombi la kuwasilisha rasmi hoja hiyo leo mwendo wa saa nane.

Hoja ya kumbandua gavana huyo inafathiliwa na mwakilishi wadi maalum wa chama cha wiper Juma Matunda na ambaye anadaiwa kuwa mwandani wa karibu wa aliyekuwa mgombea wa ugavana wa kaunti hiyo Ben Momanyi.

Imetayarishwa na Janice Marete

LENGO LA KUMBANDUA GAVANA WA NYAMIRA AMOS NYARIBO LATIBUKA

SERIKALI MBIONI KUIMARISHA AFYA YA AKILI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *