#Local News

ODINGA KUREJESHWA NCHINI LEO

Mwili wa waziri mkuu wa zamani Raila Odinga ambaye pia ni kiongozi wa muda mrefu wa upinzani, unatarajiwa kuwasili katika uwanja wa JKIA jijini Nairobi majira ya 8:30 asubuhi hii kutoka Mumbai nchini India.

Vikosi vya wanajeshi tayari vimewasili katika uwanja huo kwa matayarisho ya kuupokea ujumbe maalum ukiongozwa na mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi uliokwenda kuuleta nchini mwili wa kiongozi huyo ambaye amekumbukwa kwa juhudi zake za kupigania demokrasia na haki za wananchi.

Baadaye mwili huo ambao utapokelewa na Rais William Ruto, utapelekewa katika hifadhi ya Lee kabla ya kupelekwa katika majengo ya bunge.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

ODINGA KUREJESHWA NCHINI LEO

BUNGE KUMWOMBOLEZA ODINGA ALHAMISI

ODINGA KUREJESHWA NCHINI LEO

ODINGA KUZIKWA JUMAPILI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *