#Local News

RUTO KUHUTUBIA TAIFA BUNGENI

Rais William Ruto ameratibiwa kulihutubia taifa kupitia kikao cha pamoja cha bunge ambako anatarajiwa kuangazia hatua zilizopigwa, changamoto na sera za serikali yake kuboresha maisha ya wakenya.

Miongoni mwa masuala atakayozungumzia ni mradi wa nyumba za bei nafuu, gharama ya maisha, miundomsingi na usalama, hotuba ya mwaka huu ikijiri wakati taifa linakumbana na changamoto mbali mbali za kiuchumi na kisiasa.

Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula, amethibitisha kikao hicho cha saa nane alasiri.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO KUHUTUBIA TAIFA BUNGENI

MUDAVADI ATETEA FAMILIA YA RUTO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *