#Local News

KINACHOENDELEA GAZA SIO MAUAJI YA KIMBARI BIDEN AMESEMA

Rais wa Marekani Joe Biden ametetea vikali taifa la Israel siku ya Jumatatu, akisema vikosi vya Israel havifanyi mauaji ya halaiki katika kampeni yao ya kijeshi dhidi ya wanamgambo wa Hamas huko Gaza kupinga ukosoaji kutoka kwa waandamanaji wanaounga mkono Palestina.

“Kinachotokea Gaza sio mauaji ya halaiki. Tunakataa hilo,” Biden alisema.

 Biden amekabiliwa na maandamano katika hafla zake nyingi kote nchini kutoka kwa mawakili wanaounga mkono Palestina.

Imetayarishwa na: Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *