#Football #Sports

MOROCCO YAILAZA UGANDA 5-0 KATIKA CAF U-17

Morocco ilianza michuano ya CAF U-17 kwa ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Uganda kwenye Kundi A. Ilies Belmokhtar na Driss Aït Chiekh walifunga mabao mawili ya haraka, huku Ziyad Baha akifunga penalti kabla ya Belmokhtar kuongeza la nne kabla ya mapumziko.

Uganda ilijaribu kurejea, lakini kipa Chouaib Bellaarouch aliokoa juhudi zao. Ziyad Baha alikamilisha ushindi kwa bao la tano dakika ya 71.

Ushindi huu unaiweka Morocco kileleni mwa Kundi A. Michuano inaendelea leo kwa mechi za Zambia vs. Tanzania, Burkina Faso vs. Cameroon, na Egypt vs. Afrika Kusini. Fainali itafanyika Mei 19.

Imetayarishwa na Janice Marete

MOROCCO YAILAZA UGANDA 5-0 KATIKA CAF U-17

OWALO: SERIKALI IKO KWENYE NJIA SAHIHI

MOROCCO YAILAZA UGANDA 5-0 KATIKA CAF U-17

OILERS WATINGA FAINALI YA ESS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *